Merig ni kisiwa cha Vanuatu, kimojawapo cha Visiwa vya Banks. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Gaua. Eneo la kisiwa ni chini ya 1 km². Kuna familia moja kisiwani tu, na mwaka wa 2009 walihesabiwa kuwa watu 12. Hawa huongea Kimwerlap, lugha ya kisiwa cha jirani cha Mere Lava.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.