Merir ni kisiwa cha Palau. Kiko upande wa Kusini-Mashariki wa kisiwa cha Pulo Anna. Eneo la kisiwa ni 0.9 km². Kuna kijiji kimoja tu kisiwani ambacho huitwa Melieli. Mwaka wa 2000 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa watano tu. Watu wakaao kisiwani kwa Merir huongea Kisonsorol.

Kisiwa cha Merir
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.