Kisonsorol
Kisonsorol ni lugha ya Kiaustronesia nchini Palau inayozungumzwa na Wasonsorol kwenye visiwa vya Sonsorol, Pulo Anna na Merir. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisonsorol imehesabiwa kuwa watu 360. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisonsorol iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisonsorol kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisonsorol
- lugha ya Kisonsorol katika Glottolog
- lugha ya Kisonsorol kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisonsorol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |