Meschak Elia

Mchezaji mpira wa Kongo

Meschak Elia (alizaliwa 6 Agosti 1997) ni mchezaji wa klabu ya TP Mazembe iliyopo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na timu ya taifa ya Kongo.

Meschak Elia

Kazi ya klabu hariri

Mnamo Julai 2019 ilitangazwa kuwa angejiunga na klabu ya Ubelgiji ya kutoka katika klabu ya TP Mazembe na kwenda Anderlecht.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meschak Elia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.