Mgodi
Mgodi ni sehemu au mahali ambapo madini huchimbwa. Mgodi unaweza ukawa wa almasi, dhahabu, mafuta, tanzanaiti, rubi n.k.
FaidaEdit
- Hutupatia ajira
- Hutupatia fedha zinazotokana na madini
- Madini hukuza uchumi wa taifa
- Madini hutumika kutengeneza vito vya thamani mfano mikufu, hereni n.k.
- Hujenga mahusiano ya kibiashara
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mgodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |