Michael Araujo, ni mchezaji zamani wa soka wa Afrika Kusini ambaye alicheza katika nchi mbalimbali kama Kanada, Marekani. Alizaliwa mnamo mwaka 1968 nchini Afrika Kusini na wazazi wa Kireno na alicheza soka katika chuo kikuu huko Boca Raton, akiwa mshindi wa ubingwa wa kitaifa wa NAIA mwaka 1987[1].

Baadaye alicheza katika timu kadhaa huko Canada, Marekani, Ireland, na Afrika Kusini. Araujo alipata mafanikio makubwa akiwa katika mbalimbali timu kama vile Montreal Supra[2], Glenavon F.C., na SuperSport United. Pia Araujo alicheza soka la ndani na kushinda tuzo kama mchezaji aliyeongoza katika kutoa pasi na mabao katika USISL. Baada ya kustaafu, aliendelea kucheza kwa vilabu vya amaeta na daraja la chini nchini Marekani.Hivi sasa Araujo ni kosha wa timu ya vijana ya Teamboca boys soccer

Marejeo hariri

  1. "Lynn University All Time Roster". Lynnfightingknights.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 September 2012.  Unknown parameter |df= ignored (help); Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "Michael Araujo soccer statistics on StatsCrew.com". 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Araujo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.