Mike Laizer (amezaliwa tar. 24 Oktoba 1948) ni mbunge wa jimbo la Longido katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Mike Laizer". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje hariri