Longido
Longido ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Longido katika Mkoa wa Arusha upande wa kaskazini wa Tanzania wenye postikodi namba 23501[1]. Iko kwenye barabara katikati ya miji ya Arusha na Namanga mpakani mwa Kenya.
Kata ya Longido | |
Mahali pa Longido katika Tanzania | |
Majiranukta: 2°43′48″S 36°40′48″E / 2.73°S 36.68°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Arusha |
Wilaya | Monduli |
Idadi ya wakazi | |
- | 8,510 |
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,285 [2] walioishi humo.
Wakazi ni hasa Wamasai. Longido iko kando ya mlima Longido wenye kimo cha mita 2,629 juu ya UB.
Kuna maduka, nyumba za wageni, hoteli, vilabu, kituo cha polisi, shule ya msingi na ya sekondari pamoja na makanisa mbalimbali.
MarejeoEdit
Kata za Wilaya ya Longido - Mkoa wa Arusha - Tanzania |
||
---|---|---|
Eleng'ata Dapash | Engarenaibor | Engikaret | Gelai Lumbwa | Gelai Meirugoi | Ilorienito | Kamwanga | Ketumbeine | Kimokouwa | Longido | Matale | Mundarara | Namanga | Noondoto | Olmolog | Orbomba | Sinya | Tingatinga| |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Longido kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |