Michael Olunga (alizaliwa 26 Machi 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kenya. Anachezea timu ya taifa ya Kenya.

Faili:Olunga, jugador del Girona FC (cropped).jpg

Olunga ameichezea timu ya taifa ya Kenya tangu mwaka wa 2015. Olunga alicheza Kenya katika mechi 40, akifunga mabao 18.[1]

Takwimu hariri

[1]

Timu ya Taifa ya Kenya
Mwaka Mechi Magoli
2015 13 6
2016 8 1
2017 5 5
2018 5 2
2019 9 4
Jumla 40 18

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 Michael Olunga at National-Football-Teams.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Olunga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.