Michael Pollesel
Michael Pollesel ni askofu wa zamani wa Anglikana nchini Uruguay.[1]
Alichaguliwa kuwa Askofu wa Uruguay mwaka 2012.[2]Pollesel, ambaye anasema kwa ufasaha lugha ya Kihispania, aliwahi kuwa katibu mkuu wa Kanisa la Anglikana la Kanada.[3]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |