Michael R. Arietti
Balozi wa Muungano wa Madola ya Marekani
Michael Ray Arietti (alizaliwa Oktoba 25, 1947) [1] ni mwanadiplomasia wa Marekani na alifanya kazi kama afisa anaehusika na mambo ya nje katika Idara ya serikali ya Marekani. Alihudumu kama balozi wa Marekani nchini Rwanda kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2008.
Maisha na Elimu
haririAlikulia katika Jiji la Enfield, Connecticut, Arietti alihitimu elimu yake ya sekondari katika shule iitwayo Enfield High School mnamo mwaka 1965. [2] Alipata shahada yake ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins mwaka 1970. [3]
Kazi
haririBaada ya kuhitimu chuo, alijitolea katika Kikosi cha Amani na kufanya kazi nchini India kabla ya kujiunga na Idara ya Serikali ya Marekani.[4]
Marejeo
hariri- ↑ AHLBERG, KRISTIN L. (2008). "Building a Model Public History Program: The Office of the Historian at the U.S. Department of State". The Public Historian. 30 (2): 9–28. doi:10.1525/tph.2008.30.2.9. ISSN 0272-3433.
- ↑ "CONNECTICUT MAKES FLUORIDATION MANDATORY: IN NEW YORK STATE-OVER 70% COVERAGE". Journal of School Health. 35 (9): 401–401. 1965-11. doi:10.1111/j.1746-1561.1965.tb01627.x. ISSN 0022-4391.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ Graham, Howard; Kauffman, Regina; Khaliq, Waseem (2022-08-04). "Colorectal Cancer Screening Prevalence, Perceived Barriers, and Preference for Screening Colonoscopy Among Hospitalized Women". The Turkish Journal of Gastroenterology. doi:10.5152/tjg.2022.21567. ISSN 2148-5607.
- ↑ Arietti Junior, Antonio Marcelo, Análise dos requisitos da qualidade em projetos de robôs agrícolas, Universidade de Sao Paulo, Agencia USP de Gestao da Informacao Academica (AGUIA), iliwekwa mnamo 2022-08-12