Michelle Agyemang
mchezaji wa mpira wa miguu wa uingereza
Michelle Agyemang (alizaliwa 3 Februari 2006) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), na timu ya taifa ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 19. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Nancy Gillen (2023-02-14). "Teenage sensation Michelle Agyemang finishes second in Arsenal's Goal of the Month poll". GiveMeSport (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michelle Agyemang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |