Michelle Alozie
Michelle Chinwendu Alozie (alizaliwa 28 Aprili 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Wanawake ya Nigeria.[1]
Michelle Alozie | |
Amezaliwa | 28 Aprili 1997 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mwanasoka |
Maisha ya awali
haririAlozie alizaliwa Marekani na alilelewa kwenye Apple Valley, California.[2][1]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Michelle Alozie - Soccer". University of Tennessee Athletics. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Michelle Alozie - 2018 - Women's Soccer". Yale University. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michelle Alozie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |