Michoacán ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko. Mji mkuu na mji mkubwa ni Morelia.

Maruata Beach, Michoacán
Bendera ya Michoacán
Mahali pa Michoacán katika Mexiko

Imepakana na Colima, Jalisco, Guanajuato, Querétaro, Mexico na Guerrero. Upande wa kusini kuna pwani na Pasifiki. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 3,966,073. Una eneo la 59,864km².

Michoacán ni jimbo yenye historia udefu. Wap'urhépecha ilikuwa jina la ustaarabu muhimu wa kienyeji katika eneo la jimbo kabla ya kufika kwa Wahispania.

Gavana wa jimbo ni Salvador Lopez Orduna.

Lugha rasmi ni Kihispania.


Miji Mikubwa hariri

  1. Morelia (608,049)
  2. Uruapan (238,975)
  3. Zamora (171,826)
  4. Apatzingán (93,181)


Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Michoacán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.