Querétaro (jimbo)
Querétaro ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Querétaro.

Mahali pa Querétaro katika Mexiko
Imepakana na San Luis Potosí, Guanajuato, Hidalgo, Mexico na Michoacán.
Jimbo lina wakazi wapatao 1,598,139 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,449.
Gavana wa jimbo ni Francisco Garrido Patrón.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Miji MikubwaEdit
- Querétaro (596,450)
- San Juan del Río (120,984)
- Corregidora (104,218)
- Tequisquiapan (54,929)
Viungo vya NjeEdit
- (Kihispania) Estado de Querétaro Sitio oficial
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Querétaro (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |