Mickey Mouse ni panya maarufu duniani. Amezaliwa 15 Mei 1928 kama mhusika katika katuni ya Walt Disney akaendelea kuwa mhusika wa katuni maarufu kabisa duniani.

Mickey Mouse
Sanamu ya Walt Disney pamoja na Mickey Mouse

Akishirikiana na rafiki zake Minnie Mouse na Goofy, mbwa Pluto na mpwa zake Morty and Ferdie hupigania haki dhidi ya watu wabaya lakini pia dhidi ya matata madogo ya kila siku.

Habari za Mickey Mouse zinapatikana kwa njia ya filamu na vitabu vya katuni.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mickey Mouse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.