Walt Disney
Mhuishaji na mtayarishaji wa Marekani (1901-1966)
Walter Elias Disney (5 Desemba 1901 - 15 Desemba 1966) alikuwa mtayarishaji, mwongozaji na mwanakatuni maarufu wa Marekani. Akiwa pamoja na ndugu yake aitwaye Roy Disney, walifanikiwa kuanzisha kampuni ya Walt Disney Productions (sasa hivi inaitwa The Walt Disney Company).
Disney anafahamika zaidi kwa kubuni katuni zake zilizo maarufu, Mickey Mouse. Minnie Mouse na Pluto vilevile ni ubunifu wake kwa jumla na ujinga ujinga mwingine.
Viungo vya nje
hariri- Walt Disney katika INDUCKS
- Walt Disney at the Internet Movie Database
- Walt Disney katika TCM Movie Database
- Walt Disney Family Museum
- 1985 audio interview with Leonard Mosley, author of Disney's World, a biography about Walt Disney Archived 4 Februari 2008 at the Wayback Machine. by Don Swaim
- Neal Gabler, Inside Walt Disney
- Anaheim Walk of Stars Archived 2 Aprili 2007 at the Wayback Machine.
- Interview with Robert Stack About Walt Disney's Involvement in Polo
- Walt Disney Gravesite
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Walt Disney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |