Middelburg
Middelburg ni mji mkuu wa mkoa wa Zeeland nchini Uholanzi. Mji ulianzishwa karne ya 9. Idadi ya wakazi wake ni takriban 47,308.
Kwa maana nyingine, tazama Middelburg (maana).
Middelburg | |||
| |||
Mahali pa mji wa Middelburg katika Uholanzi |
|||
Majiranukta: 51°30′0″N 3°37′0″E / 51.50000°N 3.61667°E | |||
Nchi | Uholanzi | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Zeeland | ||
Idadi ya wakazi (2008) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 47,308 | ||
Tovuti: http://www.middelburg.nl/ |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Middelburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |