Open main menu


Karne ya 9 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 801 na 900. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 801 na kuishia 31 Desemba 900. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

Watu na matukioEdit