Mihayo Kazembe

Mchezaji mpira wa Kongo

Pamphile Mihayo Kazembe (alizaliwa Lubumbashi, 17 Septemba 1976) ni mchezaji wa zamani wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye mwisho alikuwa anachezea TP Mazembe kama kiungo. Kwa sasa ni kocha katika TP Mazembe.

Mihayo Kazembe
Mihayo Kazembe.jpg
Maelezo binafsi
Jina kamili Pamphile Mihayo Kazembe
Tarehe ya kuzaliwa 17 Septemba 1976
Mahala pa kuzaliwa    Lubumbashi,

* Magoli alioshinda

Kazi hariri

Mihayo alicheza kwa TP Mazembe katika Kombe la Dunia la Klabu za FIFA mwaka wa 2009 na alikuwa nahodha wao katika Kombe la Dunia la Klabu za FIFA mwaka wa 2010, ambapo walifika fainali lakini walipoteza mchezo huo 3-0 [1] dhidi ya Internazionale. Mwaka wa 2008, alifanya majaribio na klabu ya Ligi Kuu ya England, Arsenal FC.[2]

Marejeo hariri

  1. http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/9301760.stm BBC Sport. 18 Desemba 2010. Ilirejeshwa tarehe 19 Desemba 2010.
  2. https://www.bbc.co.uk/dna/606/A33806199

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mihayo Kazembe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.