Mikael Agricola (takriban 1509 – 9 Aprili 1557) alikuwa mwanateolojia katika nchi ya Ufini. Alikuwa mwanafunzi wa Martin Luther na Philipp Melanchthon na baadaye alileta mabadiliko ya kanisa kule Finland. Pia alianzisha fasihi katika lugha ya Kifini na kutafsiri Agano Jipya.[1][2]

Sanamu ya Mikael Agricola kwenye Kanisa Kuu la Turku, Ufini.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo hariri

  1. Kivi, Aleksis (1834 - 1872)Jumba la biolojia nchini Finland
  2. Dan Graves. Michael Agricola,. Christianity.com.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikael Agricola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.