Mike Laizer

Mike Laizer (amezaliwa tar. 24 Oktoba 1948) ni mbunge wa jimbo la Longido katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Mike Laizer (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnjeEdit