Mike Reno (alizaliwa Joseph Michael Rynoski; alizaliwa 8 Januari, 1955) ni msanii wa muziki kutoka Kanada, mwimbaji na kiongozi wa kikundi cha rock cha Loverboy. Aliongoza bendi nyingine, ikiwa ni pamoja na Moxy bandi.[1][2]

Reno akitumbuiza mwaka wa 2013.

Marejeo

hariri
  1. "Loverboy's Mike Reno comes home". Novemba 29, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Various - Iron Eagle II - Music From The Original Motion Picture Soundtrack". Discogs.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mike Reno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.