Michail Aleksandrovich Sholokhov

(Elekezwa kutoka Mikhail Sholokhov)

Mikhail Aleksandrovich Sholokhov (24 Mei 190521 Februari 1984) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi. Hasa aliandika riwaya, k.m. "Don, Mto wa Kimya" (kwa Kirusi Tikhy Don) iliyotolewa katika majuzuu manne miaka ya 1928-40. Mwaka wa 1965 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Michail Aleksandrovich Sholokhov


Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michail Aleksandrovich Sholokhov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.