Mikoa na wilaya za Uajemi
Mikoa na wilaya za Uajemi ni vitengo vya utawala wa nchi hiyo. Uajemi imegawiwa kwa mikoa 30 inayoitwa kwa Kifarsi ostān ( استان wingil استانها ostānhā). Kila mmoja huwa na makao makuu yake ambayo kwa kawaida yako kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuitwa مرکز markaz au kitovu cha mkoa. Mkuu wa mkoa anaitwa ostandar anateuliwa na waziri wa mambo ya ndani kwa kibali cha halmashauri ya mawaziri. Mikoa hugawiwa kwa wilaya zinazoitwa "shahrestan".
Jedwali la mikoa ya Uajemi
haririMkoa (ostan) | Makao makuu (merkezi) |
Eneo (km²)[1] |
Idadi ya wakazi[2] |
Msongamano wa watu (idadi kwa km²) |
Idadi ya wilaya (shahrestan) mkoani |
---|---|---|---|---|---|
Ardabil[3] | Ardabil | 17,800 | 1,257,624 | 70.7 | 9 |
Azarbaijan Mashariki | Tabriz | 45,650 | 3,500,183 | 76.7 | 19 |
Azarbaijan Magharibi | Urmia[4] | 37,437 | 2,949,426 | 78.8 | 14 |
Bushehr[5] | Bushehr | 22,743 | 816,115 | 35.9 | 9 |
Chahar Mahaal na Bakhtiari[6] | Shahrekord | 16,332 | 842,002 | 51.6 | 6 |
Fars | Shiraz | 122,608 | 4,385,869 | 35.8 | 23 |
Guilan | Rasht | 14,042 | 2,410,523 | 171.7 | 16 |
Golestan[7] | Gorgan | 20,195 | 1,637,063 | 81.1 | 11 |
Hamadan[8] | Hamadan | 19,368 | 1,738,772 | 89.8 | 8 |
Hormozgan[9][10] | Bandar Abbas | 70,669 | 1,314,667 | 18.6 | 11 |
Ilam[8] | Ilam | 20,133 | 545,093 | 27.1 | 7 |
Isfahan[11] | Isfahan | 107,029 | 4,454,595 | 41.6 | 21 |
Kerman | Kerman | 180,836 | 2,432,927 | 13.5 | 14 |
Kermanshah[12] | Kermanshah[12] | 24,998 | 1,938,060 | 77.5 | 13 |
Khorasan Kaskazini[13] | Bojnourd | 28,434 | 786,918 | 27.7 | 6 |
Khorasan Razavi[13] | Mashhad | 144,681 | 5,202,770 | 36.0 | 19 |
Khorasan Kusini[13] | Birjand | 69,555 | 510,218 | 7.3 | 4 |
Khuzestan | Ahvaz | 64,055 | 4,345,607 | 67.8 | 18 |
Kohgiluyeh na Boyer-Ahmad[14][15] | Yasuj | 15,504 | 695,099 | 44.8 | 5 |
Kurdistan[16] | Sanandaj | 29,137 | 1,574,118 | 54.0 | 9 |
Lorestan[14] | Khorramabad | 28,294 | 1,758,628 | 62.2 | 9 |
Markazi[17][11] | Arak | 29,130 | 1,361,394 | 46.7 | 10 |
Mazandaran | Sari | 23,701 | 2,818,831 | 118.9 | 15 |
Qazvin[18] | Qazvin | 15,549 | 1,166,861 | 75.0 | 5 |
Qom[19] | Qom | 11,526 | 1,064,456 | 92.4 | 1 |
Semnan[17][11] | Semnan | 97,491 | 589,512 | 6.0 | 4 |
Sistan na Baluchistan[20] | Zahedan | 181,785 | 2,290,076 | 12.6 | 8 |
Teheran[21] | Tehran | 18,814 | 12,150,742 | 645.8 | 13 |
Yazd[6][22] | Yazd | 129,285 | 958,318 | 7.4 | 10 |
Zanjan[16][11] | Zanjan | 21,773 | 970,946 | 44.6 | 7 |
Iran | Tehran | 1,628,554 | 68,467,413 | 42.0 | 324 |
Marejeo
hariri- ↑ Statistical Centre, Government of Iran. ""General Characteristics of Ostans according to their administrative divisions at the end of 1383 (2005 CE)"". Iliwekwa mnamo 2006-04-30.
- ↑ Statistical Centre, Government of Iran. ""Population estimation by urban and rural areas, 2005"". Iliwekwa mnamo 2006-04-30.
- ↑ Until 1993, Ardabil was part of East Azarbaijan province.
- ↑ Until 1979, the city was known as Rezaiyeh.
- ↑ Originally part of Fars province. Until 1977, the province was known as Khalij-e Fars (Persian Gulf).
- ↑ 6.0 6.1 Originally part of Isfahan province.
- ↑ On 1997-05-31, the shahrestans of Aliabad, Gonbad-e-kavus, Gorgan, Kordkuy, Minudasht, na Torkaman were separated from Mazandaran province to form Golestan province.
- ↑ 8.0 8.1 Originally part of Kermanshah province.
- ↑ Originally part of Kerman province. Until 1977, the province was known as Banader va Jazayer-e Bahr-e Oman (Ports and Islands of the Sea of Oman).
- ↑ Hormozgan includes several islands such as Qeshm, Lavan, Kish na Hormoz as well as Abu Musa island which is jointly administered by Iran na the United Arab Emirates.
- ↑ 11.0 11.1 11.2 11.3 Mwaka 1986 sehemu za mkoa wa Markazi zilihamishwa kwenda mikoa ya Isfahan, Semnan, na Zanjan.
- ↑ 12.0 12.1 Between 1979 na 1995 Kermanshah province na its capital, were both known as Bakhtaran.
- ↑ 13.0 13.1 13.2 On 2004-09-29, Khorasan was divided into three provinces. North Khorasan; Razavi Khorasan; South Khorasan.
- ↑ 14.0 14.1 Kiasili sehemu ya mkoa wa Khuzestan.
- ↑ Hadi 1990 mkoa ulijulikana kwa jina la Bovir Ahmadi na Kohkiluyeh.
- ↑ 16.0 16.1 Kiasili sehemu ya mkoa wa Gilan
- ↑ 17.0 17.1 Kiasili sehemu ya mkoa wa Mazandaran.
- ↑ Mwaka 1996 shahrestan za Qazvin na Takestan zilitengwa na mkoa wa Zanjan kwa kuanzisha mkoa mpya wa Qazvin.
- ↑ Hadi 1995 Qom ilikuwa shahrestan wa mkoa wa Teheran.
- ↑ Hadi 1986 mkoa ulijulikana kwa jina la Baluchistan na Sistan.
- ↑ Hadi 1986 Tehran ilikuwa sehemu ya mkoa wa Markazi .
- ↑ 1986 sehemu ya mkoa wa Kerman ilihamishwa Yazd. Mwaka 2002 wilaya ya Tabas (eneo: 55,344 km²) ilihamishwa kutoka Khorasan kwenda Yazd.
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |