Mikoa ya Burkina Faso

Mikoa ya Burkina Faso ni ngazi ya kwanza ya utaguzi nchini Burkina Faso. Kwa jumla kuna mikoa 13 ya kiutawala. Mkuu wa mkoa huitwa gavana .

Mikoa ya Burkina Faso
Mkoa Eneo
(km2) [1]
Idadi ya watu
(2011)
Makao
makuu
Boucle du Mouhoun 34,333 1,631,321 Dédougou
Cascades 18,424 637,279 Banfora
Centre 2,869 2,136,581 Ouagadougou
Centre-Est 14,710 1,302,449 Tenkodogo
Centre-Nord 19,677 1,375,380 Kaya
Centre-Ouest 21,752 1,348,784 Koudougou
Centre-Sud 11,457 722,631 Manga
Est 46,694 1,416,229 Fada N'gourma
Hauts-Bassins 25,343 1,469,604 Bobo Dioulasso
Nord 16,414 1,185,604 Ouahigouya
Plateau-Central 8,545 696,372 Ziniaré
Sahel 35,360 968,442 Dori
Sud-Ouest 16,153 620,767 Gaoua

Mikoa hii imegawanywa katika wilaya 45 (provinces) na kata 351 (communes).

Marejeo

hariri

Angalia pia

hariri

Kigezo:Mikoa ya Burkina Faso