Milcah Chemos Cheywa

Mwanariadha kutoka Kenya

Milcah Chemos Cheywa (alizaliwa Bugaa, kaunti ya Bungoma, 24 Februari 1986)[1][2] ni mwanariadha kutoka Kenya ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 3000 kuruka viunzi.

Alikuwa, hadi 2015, akishikilia rekodi ya Afrika kwa mbali na ndiye mshindi wa medali ya dhahabu ya Mashindano ya Dunia mwaka 2013 katika Riadha.

Marejeo

hariri
  1. Wokabi, James; Mutuota, Mutwiri. "IAAF Focus on Athletes Biography". International Association of Athletics Federations. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Milcah Chemos Cheywa Bio, Stats and Results". Sports Reference LLC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milcah Chemos Cheywa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.