Miss Excellence Tanzania

Miss Excellence Tanzania ilikuwa mashindano ya urembo ngazi ya kitaifa Tanzania, yaliyoanzishwa mwaka 2010 na uongozi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, kushirikiana na waandaaji wa Vodacom Miss Tanzania.[1] [2] Mshindi wa shindano hili aliwakilisha taasisi katika shindano la kitaifa la urembo, Miss Tanzania. [3][4][5][6][7][8]

Miss Excellence Tanzania
Limeanzishwa2010
Membership
Miss Tanzania
Official language
Kiingereza
Kiswahili
Wahusika
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Tangu kuanza mwaka 2016, hadi sasa, hakuna wawakilishi wa Miss Excellence waliowania kwenye hatua ya kitaifa ya Miss Tanzania. Hata hivyo, washiriki wa 2011, Neema Mtitu na Weirungu David, waliwekwa miongoni mwa washiriki 30 katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, mojawapo ya vinyang'anyiro vikubwa katika mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania kitaifa. [9]

Washindi mbalimbali hariri

2010 hariri

  • Christine Justine [10]

2011 hariri

2012 hariri

2013 hariri

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. "Miss Open University of Tanzania Excellence 2010 kufanyika kesho.". www.mtaakwamtaa.co.tz.   22 Julai 2010. Iliwekwa mnamo 2023-06-19.  Check date values in: |date= (help)
  2. "OUT Miss Excellence beauty pageant 2014/2015". outblogtz. 4 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 2023-06-19. 
  3. "Miss Excellence Open University of Tanzania 2013". rundugai. April 2, 2013. Iliwekwa mnamo 2023-06-19.  Check date values in: |date= (help)
  4. "Miss Excellence - Open University 2011", Tanzania Universities Sports Association (kwa Kiingereza), 2011-09-26, iliwekwa mnamo 2023-06-19 
  5. "Shindano la Miss Open University of Tanzania Excellence 2010". michuzijr.   23 Julai 2010. Iliwekwa mnamo 2023-06-19.  Check date values in: |date= (help)
  6. "Miss Excellence - Open University of Tanzania 2011". Tanzania Universities Sports Association (TUSA). 26 September 2011. Iliwekwa mnamo 2023-06-19.  Check date values in: |date= (help)
  7. "Miss Open University of Tanzania Kinondoni Dar es Salaam". Japhetmasatu.   11 Oktoba 2014. Iliwekwa mnamo 2023-06-19.  Check date values in: |date= (help)
  8. "Bernard Membe mgeni rasmi Miss Excellence 2011/2012", Issa Michuzi, 15 Julai 2011. (sw) 
  9. "Miss Tanzania 2011". Missosology. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-19. Iliwekwa mnamo 2023-06-19.  More than one of |website= na |work= specified (help)
  10. Mara, Josee (24 Julai 2010). "MISS OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA EXCELLENCE 2010: Mshindi ni Christine Justine". Iliwekwa mnamo 19 Juni 2023. 
  11. Jr, Michuzi (16 Julai 2011). "Vodacom Miss Excellence 2011 ni Neema Mtitu.". Iliwekwa mnamo 19 Juni 2023. 
  12. Mrisho, Abdallah (17 Julai 2011). "Vodacom Miss Excellence 2011 ilivyorindima - Mshindi ni Neema Mtitu.". Iliwekwa mnamo 19 Juni 2023. 
  13. UK, Matukio (16 Julai 2011). "Vodacom Miss Excellence 2011 ni Neema Mtitu: Mshindi wa pili Weirungu David wa tatu Neema Saimoni.". Iliwekwa mnamo 19 Juni 2023. 
  14. Vibe, TZ Campus (16 September 2012). "Miss Excellence Chuo Kikuu Huria cha Tanzania: Hatimaye Zuena Naseeb avishwa taji la mwaka 2012". Iliwekwa mnamo 19 Juni 2023.  Check date values in: |date= (help)
  15. Vibe, TZ Campus (15-09-2012). "ZUWENA NASSIB AUKWAA MISS EXCELLENCE OUT 2012 USIKU WA JANA". Iliwekwa mnamo 19 Juni 2023.  Check date values in: |date= (help)
  16. Blog, OUT (19 Julai 2013). "Lucy Makoye mshindi wa OUT Miss Excellence 2013/2014". Iliwekwa mnamo 19 Juni 2023.