Miss Tanzania ni shindano la kitaifa la Urembo nchini Tanzania.[1]

Historia hariri

Shindano hilo ilianza mwaka 1967. Mara ya kwanza, washiriki katika shindano hilo wote walitoka jijini Dar es Salaam. Mshindi wa kwanza wa mwaka 1967 alikuwa Theresa Shayo.[2]

Washindi wa taji la Miss Tanzania na matokeo yao katika shindano la Urembo la Kimataifa hariri

  •       : Katajwa kama Mshindi
  •       : Katajwa katika 5 au 6 bora.
  •       : Katajwa katika 20 au 40 bora.
  •       : Katajwa kama mshindi wa taji maalum.
Mshindi wa Miss Tanzania anawakilisha nchi katika shindano la Miss World. Asipokubalika (kutokana na umri) anatumwa mwingine.
Mwaka Miss Tanzania Matokeo katika shindano la Miss World Taji maalumu
2025 Tracy Nabukeera[3] TBA TBA
2024 Halikufanyika
2023 Halima Kopwe[4] Top 40
2022 Juliana Rugumisa Unplaced
2019 Sylvia Sebastian Unplaced
2018 Queen Elizabeth Makune Unplaced
2017 Julitha Kabete Unplaced
2016 Diana Edward Lukumai Unplaced
2015 Lilian Kamazima Unplaced
2014 Happiness Watimanywa Unplaced
2013 Brigitte Alfred Lyimo[5] Unplaced
2012 Lisa Jensen Unplaced
2011 Salha Kifai Unplaced
2010 Genevieve Emmanuel Mpangala Unplaced
2009 Miriam Gerald Unplaced
2008 Nasreen Karim Unplaced
2007 Richa Adhia Unplaced
2006 Wema Sepetu Unplaced
2005 Nancy Sumari Top 6
2004 Faraja Kotta Unplaced
2003 Sylvia Bahame Unplaced
2002 Angela Damas Unplaced
2001 Happiness Magese Unplaced
2000 Jacqueline Ntuyabaliwe Unplaced
1999 Hoyce Temu Unplaced
1998 Basila Mwanukuzi Unplaced
1997 Saida Kessy Unplaced
1996 Shose Sinare Unplaced
1995 Emily Adolf Unplaced
1994 Aina Maeda Unplaced
1967 Theresa Shayo Unplaced

Marejeo hariri

  1. "Miss Tanzania pageant". Jihabarishe (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  2. "Miss Tanzania - Wikipedia". wiki.alquds.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-02. 
  3. "Tracy’s inspiring story: From commercial modelling to Miss Tanzania", The Citizen. (en) 
  4. "Halima Kopwe aibuka Miss Tanzania 2022". 
  5. "Challenge Winners Announced!". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-30. Iliwekwa mnamo 2013-09-27.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)