Şırnak ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchnii Uturuki. Mkoa una wakazi wapatao 403,607 (makadirio ya 2006). Awali idadi ya wakazi ilikuwa 353,197 na hiyo ilikuwa kunako mwaka wa 2000.

Mkoa wa Şırnak
Maeneo ya Mkoa wa Şırnak nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo: 7,172 (km²)
Idadi ya Wakazi 403,607 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 73
Kodi ya eneo: 0346
Tovuti ya Gavana http://www.şırnak.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/şırnak

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Şırnak umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Şırnak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.