Mkoa wa Ahafo ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita ya mraba 5,193.

Makao makuu ni Goaso.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ahafo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.