Jamhuri ya Ghana imegawiwa katika mikoa 16, ambayo yamegawiwa zaidi katika wilaya 275[1][2][3][4], kila moja ikiwa na Bunge la Wilaya (District Assembly). Chini ya wilaya kuna aina kadhaa za mabaraza, yakiwemo mabaraza 58 ya miji au maeneo, mabaraza 108 ya kanda na mabaraza 626 ya maeneo. Kamati za vitengo 16,000 huwa katika daraja ya chini zaidi.

Mikoa ya Ghana mnamo Februari 2019.

Mikoa hiyo 16 ni:

Tanbihi hariri

  1. SOCIAL:EC has done no wrong – Dr Afari-Gyan. Ghana News Agengy.
  2. MPs demand 24/7 police security for 275 members. myjoyonline.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-12-06.
  3. All Districts. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-10-31. Iliwekwa mnamo 2021-12-06.
  4. Ghana: Regions, Major Cities & Urban Localities – Population Statistics in Maps and Charts.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Ghana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.