Mkoa wa Ankara


Mkoa wa Ankara (Kituruki: Ankara ili) ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, ambao pia ni mji mkuu wa nchi (Ankara).

Flag of Turkey.svg Mkoa wa Ankara
Maeneo ya Mkoa wa Ankara nchini Uturuki
Ankara districts.png
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 25,706 (km²)
Idadi ya Wakazi 5,017,914 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 06
Kodi ya eneo: 0312
Tovuti ya Gavana http://www.ankara.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/ankara

Wilaya za mkoani hapaEdit

Viungo vya NjeEdit

Ankara travel & tourism information

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ankara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.