Bartın ni mji uliopo nchini Uturuki. Kihistoria pia unajulikana kama Parthenios. Bartın ni mji wa Mkoa wa Bahari Nyeusi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 182,131 (kwa hesabu ya sensa ya mwaka wa 2008). Wilaya za mjini hapa ni pamoja na Amasra, Ulus, Kurucaşile, na Bartın Merkez ambazo kila moja ni tofauti sana na nyingine.

Mahali pa Wilaya ya Bartin katika Mkoa wa Bartin
Mkoa wa Bartın
Maeneo ya Mkoa wa Bartın nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: [[Kanda ya {{{kanda}}}]]
Eneo: 2120 (km²)
Idadi ya Wakazi 159,610 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 74
Kodi ya eneo: 0378
Tovuti ya Gavana http://www.bartin.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bartin
Picha hii inatuonyesha Mto Bartın na makazi madogo yaliyozunguka mto huo.

Wilaya za jimboni hapa

hariri

Jimbo la Bartın lina wilaya 4 (wilaya kuu zimewekewa koze):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bartın kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.