Mkoa wa Bas-Sassandra
Mkoa wa Bas-Sassandra (kwa Kifaransa: Région du Bas-Sassandra) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kusini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.395.233. [2].
Mkoa wa Bas-Sassandra |
|
Mahali pa Mkoa wa Bas-Sassandra katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 5°30′N 6°40′W / 5.500°N 6.667°W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | San-Pédro |
Eneo | |
- Jumla | 26.969 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1.395.233 |
GMT | (UTC+0) |
[1] |
Kuna tarafa tano ambazo ni
Makao makuu yako San-Pédro.
Marejeo
hariri- ↑ "Ivory Coast Cities Longitude & Latitude". sphereinfo.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-13. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2010.
- ↑ Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bas-Sassandra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |