Mkoa wa Batman


Batman (kifupi cha milima ya Bati Raman) ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, ambao unajulikana sana kwa kuwa na Wakurdi wengi sana[1][2]. Upo mjini kusini-mashariki mwa Anatolia. Mkoa una idadi ya wakazi wapatao 500,000.

Flag of Turkey.svg Mkoa wa Batman
Maeneo ya Mkoa wa Batman nchini Uturuki
Batman districts.png
Maelezo
Kanda: Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo: 4694 (km²)
Idadi ya Wakazi 518,020 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 72
Kodi ya eneo: 0488
Tovuti ya Gavana http://www.batman.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/batman

Wilaya za mkoani hapaEdit

Mkoa wa Batman umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

MarejeoEdit

  1. Distribution of Kurdish PeopleGlobalSecurity.org
  2. Turkey does not register ethnicity in census, and there are thus no verifiable official figures. See Wakurdi.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Batman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.