Mkoa wa Bayburt


Bayburt ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni Bayburt. Idadi ya wakazi ni 85,455 na jumla ya eneo la kilomita za mraba ni 3,652.

Ngome ya Bayburt
Flag of Turkey.svg Mkoa wa Bayburt
Maeneo ya Mkoa wa Bayburt nchini Uturuki
Bayburt districts.png
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 3,652 (km²)
Idadi ya Wakazi 85,455 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 69
Kodi ya eneo: 0458
Tovuti ya Gavana http://www.bayburt.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bayburt

Wilaya za mkoani hapaEdit

Mkoa wa Bayburt umegawanyika katika wilaya 3 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya NjeEdit