Kanda ya Bahari Nyeusi

Kanda ya Bahari Nyeusi' (Kituruki: Karadeniz Bölgesi) ni moja kati ya kanda 7 za kijiografia za Uturuki.

Kanda ya Bahari Nyeusi

Miji mikubwa zaidi ya kanda hii ni Trabzon na Samsun.

Kanda hii iko katika kaskazini ya Anatolia kando la Bahari Nyeusi.

Utawala hariri

Mikoa kando la Bahari Nyeusi

21 kati ya mikoa 81 ya Uturuki imo ndani ya kanda ya Bahari Nyeusi:

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kanda ya Bahari Nyeusi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.