Mkoa wa Denguélé


Mkoa wa Denguélé (kwa Kifaransa: Région du Denguélé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kaskazini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 222.446. [1]

Mkoa wa Denguélé
Mahali paMkoa wa Denguélé
Mahali paMkoa wa Denguélé
Mahali pa Mkoa wa Denguelé katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 9°30′N 7°25′W / 9.500°N 7.417°W / 9.500; -7.417
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 4
Mji mkuu Odienné
Eneo
 - Jumla 21.000 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 222.446
GMT (UTC+0)

Kuna tarafa nne ambazo ni

Makao makuu yako Odienné.

Marejeo hariri

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na