Mkoa wa Granada ni moja ya mikoa 8 ya Jimbo la Andalusia katika Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 907,428. Mji wake mkuu ni Granada.

Mkoa wa Granada
Mahali pa Mkoa wa Granada katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa Granada katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa Granada katika Hispania

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo Andalusia
Mji mkuu Granada
Eneo
 - Jumla 12,531 km²
Tovuti:  http://www.dipgra.es/

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Granada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.