Granada ni mji kusini mwa Hispania, kwenye jimbo la Andalusia. Kuna wakazi 233,000.

Uwanja wa simba katika Alhambra mjini Granada
Mlango wa kanisa kuu la Granada

Uko miguuni pa milima ya Sierra Nevada katika bonde la mito Genil na Darro inayokutana mjini.

Mji una majengo mashuhuri sana, kama vile Alhambra na makanisa yake.

Kati ya miaka 711 na 1492 ilitawaliwa na Waarabu. Athira ya Kiarabu huonekana katika majengo ya kihistoria hadi leo hii.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Granada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.