Mkoa wa Iğdır
Mkoa wa Iğdır ni jina la mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Mji mkuu wake ni Iğdır..
Mkoa wa Iğdır | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Iğdır nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 3,587 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 179,839 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 76 |
Kodi ya eneo: | 0476 |
Tovuti ya Gavana | http://www.iğdır.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/iğdır |
Wilaya mkoani hapa
haririMkoa wa Iğdır umegawanyika katika wilaya (mji mkuu umekoozeshwa):
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Iğdır kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |