Mkoa wa Kırşehir
Mkoa wa Kırşehir ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, unaunda kuwa kama moja kati ya sehemu za kanda ya Anatolia ya kati. Upo mita 985 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mji mkuu wake ni Kırşehir.
Mkoa wa Kırşehir | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kırşehir nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 6,570 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 238,807 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 40 |
Kodi ya eneo: | 0386 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kırşehir.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kırşehir |
Wilaya za mkaoni hapa
haririKırşehir province is divided into 7 districts (capital district in bold):
Viungo vya Nje
hariri- Official site of Kırşehir
- Kırşehir web portal Archived 1 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
- Kırşehir tourist information
- Kırşehir haber Archived 5 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- Kırşehir haberler Archived 26 Juni 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kırşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |