Mkoa wa Kaskazini, Ghana
Mkoa wa Kaskazini, Ghana ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.
Eneo lake ni la kilomita ya mraba 25,448.
Makao makuu ni Tamale.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini, Ghana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |