Kocaeli ni mkoa wa Uturuki. Mji wake mkuu ni İzmit, ambao pia huitwa kama jina la mkoa wenyewe la Kocaeli. Mji mkubwa mkoanio hapa kwa sasa ni Gebze. Kodi ya trafiki katika jimbo hili ni 41. Mkoa upo mwishoni kabisa mwa mashariki mwa Bahari ya Marmara, hasa katika eneo la Pwani ya İzmit. Kwa kufuatia kuwa na hali ya hewa nzuri iliyopo katika Pwani ya İzmit, mji una bandari asilia kubwa sana.

Mkoa wa Kocaeli
Maeneo ya Mkoa wa Kocaeli nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 3,626 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,359,438 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 41
Kodi ya eneo: 0262
Tovuti ya Gavana http://www.kocaeli.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/kocaeli

Miji ya mkoani hapa

hariri
Nafasi Jiji Sensa ya 1990 Sensa ya 2000 Sensa ya 2007 Makadirio ya 2008
1 Gebze 159.116 253.487 310.815 319.738
2 İzmit 190.741 195.699 248.424 255.956
3 Derince 66.141 93.997 113.991 116.806
4 Darıca 53.559 85.818 109.580 112.975
5 Körfez 63.194 81.938 97.535 99.859
6 Gölcük 65.600 55.790 71.538 73.788
7 Çayırova 7.800 24.825 36.741 38.709
8 Karamürsel 24.462 29.353 36.466 37.172
9 Dilovası 18.590 28.890 35.856 36.851
10 Değirmendere 19.530 22.086 29.906 31.023
11 Alikahya 4.074 16.300 23.192 24.182
12 Hereke 13.872 14.553 18.877 19.495
13 Yuvacık 7.338 12.101 18.491 19.404
14 Köseköy 9.200 15.639 17.492 17.757
15 Kandıra 10.427 12.641 15.473 15.770
16 Uzunçiftlik 7.261 13.302 14.893 15.342
17 Kullar 8.820 17.105 13.730 13.248
18 İhsaniye 9.186 15.000 12.839 13.054
19 Bahçecik 8.648 9.563 12.232 12.613
20 Kuruçeşme 7.743 9.490 11.785 12.113
21 Arslanbey 3.439 4.421 10.573 11.452

Idadi ya wakazi wa Kocaeli mnamo mwaka 2000

hariri
Manispaa idadi ya wakazi Manispaa idadi ya wakazi Manispaa idadi ya wakazi Manispaa idadi ya wakazi Manispaa idadi ya wakazi
İzmit 199.023 Gebze 253.487 Derince 93.997 Darıca 85.818 Körfez 81.938
Gölcük 80.843 Karamürsel 31.475 Dilovasi 28.809 Çayırova 22.964 Değirmendere 22.086
Kullar 17.104 Alikahya 16.591 Hereke 16.189 Köseköy 15.639 Uzunçiftlik 13.032
Kandıra 12.641 Yuvacık 12.101 İhsaniye 11.607 Bahçecik 9.563 Kuruçeşme 9.490
Arslanbey 7.091 Suadiye 6.908 Maşukiye 6.438 Şekerpınar 6.309 Yeniköy 5.797
Karşıyaka 4.893 Tavşancıl 4.845 Uzuntarla 4.660 Halıdere 4.218 Büyükderbent 4.203

Wilaya za Kocaeli

hariri

Jimbo la Kocaeli limegawanyika katika wilaya 7 (miji mikuu imewekewa kukooza):

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri