Mkoa wa Lacs (kwa Kifaransa: Région des Lacs) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 476.173. [1]

Mkoa wa Lacs
Mahali paMkoa wa Lacs
Mahali paMkoa wa Lacs
Mahali pa Mkoa wa Lacs katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 6°50′N 5°10′W / 6.833°N 5.167°W / 6.833; -5.167
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 5
Mji mkuu Yamoussoukro
Eneo
 - Jumla 8.663 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 476.173
GMT (UTC+0)

Kuna tarafa tano ambazo ni

Makao makuu yako Yamoussoukro.

Marejeo

hariri
  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na