Mkoa wa Magharibi ya Juu

Mkoa wa Magharibi ya Juu ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita za mraba 18,476.

Makao makuu ni Wa.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Magharibi ya Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.