Menaka (kwa Kibambara Menaka Dineja) ni mkoa wa Mali ulioundwa kisheria mwaka 2012 kutoka sehemu ya mashariki ya Mkoa wa Gao. [1] [2]

Eneo la Menaka
Menaka bado inaonyeshwa kama sehemu ya Mkoa wa Gao.

Uuanzishwaji halisi wa mkoa huo ulifanyika tarehe 19 Januari 2016 kwa kumteua Daouda Maïga kama gavana wa mkoa.[3] [4] Wajumbe wa baraza la mpito wa mkoa waliteuliwa tarehe 14 Oktoba 2016. [5]

Mkoa umegawanyika katika wilaya (cercles) nne: Anderamboukane, Inekar, Tidermene, na Menaka, eneo la mji mkuu, pia hujulikana Menaka. [3]

Marejeo hariri

  1. "LOI No 2012-017 DU 02 MARS 2012 PORTANT CREATION DE CIRCONSCRIPTIONS ADMINISTRATIVES EN REPUBLIQUE DU MALI". Journal officiel de la République du Mali. 2 March 2012. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-23. Iliwekwa mnamo 21 February 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Report of the Secretary-General on the situation in Mali". MINUSMA. 28 March 2016. Iliwekwa mnamo 21 February 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 "Régionalisation: Deux Nouvelles régions créées au Mali". Malijet. 21 January 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-02-22. Iliwekwa mnamo 21 February 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Nomination: Ménaka fête déjà son Gouverneur". Maliweb. 30 January 2016. Iliwekwa mnamo 21 February 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Report of the Secretary-General on the situation in Mali". MINUSMA. 30 December 2016. Iliwekwa mnamo 21 February 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)