Kibambara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa hasa na Wabambara; tena ni lugha ya taifa ya nchini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambara iko katika kundi la Kimande.

Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibambara nchini Mali ilihesabiwa kuwa watu 2,700,000, lakini kwa sasa asilimia 80 za wakazi wanaweza kuwasiliana kwa niia yake.

Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire, Burkina Faso, Senegal, Gambia, Mauritania na Guinea.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibambara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.