Mkoa wa Moyen-Cavally
Mkoa wa Moyen-Cavally (kwa Kifaransa: Région du Moyen-Cavally) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 508.728. [1]
Mkoa wa Moyen-Cavally |
|
Mahali pa Mkoa wa Moyen-Cavally katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 6°25′N 7°30′W / 6.417°N 7.500°W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 4 |
Mji mkuu | Guiglo |
Eneo | |
- Jumla | 14.150 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 508.728 |
GMT | (UTC+0) |
Kuna tarafa nne ambazo ni
Makao makuu yako Guiglo.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Moyen-Cavally kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |